Dunia ya Manunuzi — kila kitu mahali pamojaDelivery kote TanzaniaLipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HalotelBidhaa bora kwa bei nafuu

Malipo na Usafirishaji

Delivery Tanzania

MNADANI inafikisha bidhaa kote Tanzania.

Taarifa tunazohitaji

  • Majina kamili na namba ya simu inayopatikana.
  • Mkoa, wilaya na kata unayotaka kupokelea mzigo.

Hakikisha taarifa zako ni sahihi ili oda yako ikufikie bila kuchelewa. Kwa maswali kuhusu oda maalum, wasiliana nasi.