Huduma kwa Wateja
Sera ya Marejesho
Tunataka uridhike na kila bidhaa unayonunua MNADANI.
Ukipata tatizo
Ikiwa bidhaa uliyopokea ina kasoro au si uliyoagiza, wasiliana nasi mapema ukitaja majina yako, namba ya simu uliyotumia kuweka oda na maelezo ya tatizo.
Timu yetu itakuelekeza hatua zinazofuata.