Dunia ya Manunuzi — kila kitu mahali pamojaDelivery kote TanzaniaLipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HalotelBidhaa bora kwa bei nafuu

Huduma kwa Wateja

Sera ya Faragha

MNADANI inaheshimu faragha yako. Sera hii inaeleza taarifa tunazokusanya na jinsi tunavyozitumia.

Taarifa tunazokusanya

  • Majina, namba ya simu na mahali pa delivery (mkoa, wilaya na kata).
  • Namba ya simu ya kulipia na bidhaa ulizoagiza.

Tunavyotumia taarifa zako

Taarifa hizi hutumika kushughulikia oda yako, kukutumia ombi la malipo, kufikisha bidhaa na kuwasiliana nawe kuhusu oda.

Maswali

Kwa maswali yoyote kuhusu faragha, wasiliana nasi.