Malipo na Usafirishaji
Fuatilia Oda Yako
Baada ya kuweka oda na kuthibitisha malipo, timu yetu huipokea na kuanza kuiandaa kwa ajili ya delivery.
Kujua oda yako imefika wapi
Wasiliana nasi ukitaja majina yako na namba ya simu uliyotumia kuweka oda, nasi tutakupa hali ya oda yako.