Dunia ya Manunuzi — kila kitu mahali pamojaDelivery kote TanzaniaLipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HalotelBidhaa bora kwa bei nafuu

Huduma kwa Wateja

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Ninawezaje kuweka oda?

Bonyeza NUNUA kwenye bidhaa, fungua kikapu, jaza taarifa za delivery kisha bonyeza LIPIA BIDHAA HAPA.

Ninalipaje?

Kwa simu kupitia M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au Halotel. Soma zaidi kwenye Maelezo ya Malipo.

Mnafikisha mikoa gani?

Tunafikisha bidhaa kote Tanzania. Angalia Delivery Tanzania.

Nifanye nini nikipata tatizo na oda?

Soma Sera ya Marejesho au wasiliana nasi.