Malipo na Usafirishaji
Maelezo ya Malipo
Malipo yote MNADANI hufanyika kwa simu kupitia M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na Halotel.
Hatua za kulipia
- Ongeza bidhaa unazotaka kwenye kikapu kwa kubonyeza NUNUA.
- Fungua kikapu na ujaze taarifa zako za delivery.
- Weka namba ya simu utakayolipia kisha bonyeza LIPIA BIDHAA HAPA.
- Utapokea ombi la malipo kwenye simu yako — weka PIN yako kuthibitisha.
Jumla ya kulipa huonyeshwa wazi kwenye kikapu kabla ya kuthibitisha oda.