Dunia ya Manunuzi — kila kitu mahali pamojaDelivery kote TanzaniaLipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HalotelBidhaa bora kwa bei nafuu

Huduma kwa Wateja

Masharti na Vigezo

Kwa kutumia MNADANI na kuweka oda, unakubali masharti haya.

Oda

Oda huthibitishwa baada ya malipo kukamilika. Hakikisha taarifa za delivery ulizoweka ni sahihi.

Bei

Bei zote zinaonyeshwa kwa Shilingi za Kitanzania (TSh). Jumla ya oda huonyeshwa kwenye kikapu kabla ya kulipia.

Mawasiliano

Kwa maswali kuhusu masharti haya, wasiliana nasi.